RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 22-3-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja .(Picha na Ikulu).
WAFANYAKAZI wa Wizara ya Maji,Nishati na Madini Zanzibar na Wageni Waalikwa katika mkutano wa Uzinduzi wa Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika mkutano huo wa Uzinduzi, uliiyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar leo 22-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika mkutano wa Uzinduzi wa Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 22-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akionesha Kitabu cha Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, baada ya Uzinduzi wa Sera hiyo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 22-3-2025.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI wa Taasisi ya Rand Water wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Sera ya Maji na Usafi wa Mazingira 2025, uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Zanzibar Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 22-3-2025.(Picha na Ikulu)