RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika jukwaa la Viongozi katika Uwanja wa New Amaan Complex, wakati wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran Afrika, yaliyofanyika katika Uwanja huo leo 22-3-2025 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrissa Kitwana Mustafa na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Zanzibar wakifuatilia Mashindano ya Kihifadhi Quran Afrika yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 22-3-2025. Mgeni Rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, kuhudhuria Mashindano ya Kuhifadhi Quran Afrika yaliyofanyika leo 22-3-2025.(Picha na Ikulu)
MAJAJI wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran Afrika wakiongoza mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar, yaliyofanyika katika uwanja huo leo 22-3-2025.(Picha na Ikulu)
WASHIRIKI wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran Afrika yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar , yaliyofanyika leo 22-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi mfano wa hundi ya shilingi milioni thalathi Mshindi wa Kwanza wa Mashindano ya Kuhifadhi Quran Akfrika kutoka Nchini Afrika Kusini Mohammed Raees Amanjee, mashindano hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex Zanzibar leo 22-3-2025.(Picha na Ikulu)