Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na Viongozi wa Siasa, Serikali, dini na makundi maalum kwenye Iftar aliyowaandalia katika viwanja vya kufurahisha watoto vya Tibirinzi, Wilaya ya Chake chake mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar tarehe 24 Machi, 2025.