Ama kwa kweli uaminifu ni suala ambalo huwa kitu kigumu katika ndoa au mahusiano mengi katika jamii za leo. Watu wengi hujipata kutokuwa waaminifu kwa ajili ya maswala kadhaa kama ukosefu wa mapenzi, ukosefu wa hela kwenye ndoa na hata kuwa na chuki baina ya……… SOMA ZAIDI