Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipozindua Mpango wa Pili wa Maandalizi ya Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Aprili 3, 2024.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam kuzindua Mpango wa Pili wa Maandalizi ya Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Aprili 3, 2024.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiweka kiganja kwenye kishikwambi kuzindua Mpango wa Pili wa Maandalizi ya Kuboresha Mazingira ya Biashara na Uwekezaji (MKUMBI II) kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam, Aprili 3, 2024. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo na watatu kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Stanslaus Nyongo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea zawadi ya picha yake kutoka kwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo . (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)