RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kulia kwa Rais) na Viongozi mbali mbali wa Serikali alipowasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, akitokea Nchini Uingereza, baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi .(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, alipowasili leo 11-4-2025, akitokea Nchini Uingereza, baada ya kumaliza ziara yake ya Kikazi, na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Ali Suleiman Ameir.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waandishi wa Habari wa vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, mazungumzo hayo na waandishi yaliyofanyika katika ukumbi wa VIP Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar, kuhusiana na ziara yake ya Kikazi Nchini Uingereza.11-4-2025.(Picha na Ikulu)