Wanadiplomasia wanaoshiriki ziara ya kitalii wakiwa katika geti la kuingia Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro.
Bonde la Ngorongoro ni bonde (Creator) kubwa zaidi lisilo na mivunjiko duniani likiwa na mandhari ya kipekee ya kuvutia na wanyama aina tofauti wakiwemo wanyama watano wakubwa duniani.
#DiplomaticSafariandTour
#Ngorongoro