Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu pamoja na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya Bunge kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu na Naibu Makatibu Wakuu pamoja na baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu baada ya Bunge kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026, Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Wabunge baada ya Bunge kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge kwa Mwaka 2025/26. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na Wabunge baada ya Bunge kupitisha Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Mfuko wa Bunge kwa Mwaka wa Fedha 2025/2026 Bungeni jijini Dodoma, Aprili 15, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).