RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Rwanda Mhe. Balozi Dkt.Habibu Kambanga, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-4-2025 na (kushoto ) Balozi wa Tanzania Nchini Sweden Mhe. Balozi Mahole Matinya.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mabalozi wa Tanzania wanaowakilisha Nchi, walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambuliwa wakielekea katika vituo vyao vya kazi, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 16-4-2025 na (kulia kwa Rais) Mhe. Balozi Dkt. Habibu Kambanga Balozi wa Tanzania Nchi Rwanda, Mhe.Balozi CP.Suzane Kaganda Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe, Mhe.Balozi Mohale Matinyi Balozi wa Tanzania Nchini Sweden na Mhe. Balozi CP.Hamad Hamad Balozi wa Tanzania Nchini Msumbiji.(Picha na Ikulu)