22/04/2025 0 Comment 83 Views Mamia wamejitokeza katika mazishi ya Mratibu wa Miss Tanzania by Suzzy Mathias Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. Copyright 2007 ©MICHUZI JR EWURA KINARA UHUSIANO MWEMA NA VYOMBO VYA HABARI NCHINI Ufundi Stadi ni sekta muhimu kwenye taifa katika kujipatia maendeleo-Naibu Waziri Londo Mamia wamejitokeza katika mazishi ya aliyekuwa Mratibu wa Miss Tanzania, Hashim Lundenga ambayo yamefanyika leo Aprili 22, 2025 Kidatu mkoani Morogoro. Lundenga alifariki Aprili 19,2025 Jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu. SHARE Mpya, Trending Habari