Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza wakati akiongoza kikao cha pamoja kati ya Tume na wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambacho kililenga kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu ni sahihi kuhusu jimbo husika. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana. (Picha na INEC).
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa pamoja kati ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi na Wadau wa uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Magu Mkoani Mwanza ambapo Tume ilikutana nao ili kujiridhisha iwapo taarifa zilizopo kwenye maombi yaliyowasilishwa ya kuligawa jimbo la Magu ni sahihi kuhusu jimbo husika. Kulia ni Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Balandya Elikana. (Picha na INEC).