Mkurugenzi wa Huduma za Meli na Bandari A C F Rajab Ali Rajab akizungumza katika Kikao Cha Wadau wa Usafirishaji Bandarini kuzungumzia mambo mbalimbali ya Usafirishaji katika Ukumbi wa Mamlaka ya Usafirishaji Bandarini ( Z M A ) Malindi Zanzibar.

Mkurugenzi wa Ulinzi Bharini ZMT Omar Khamis Ali akizungumza katika Kikao Cha Wadau wa Usafirishaji Bandarini kuzungumzia mambo mbalimbali ya Usafirishaji katika Ukumbi wa Mamlaka ya Usafirishaji Bandarini ( Z M A )Malindi Zanzibar.

Mkurugenzi wa Huduma za Meli na Bandari Rajab Ali Rajab akisisitiza jambo wakati akizungumza katika Kikao Cha Wadau wa Usafirishaji Bandarini kuzungumzia mambo mbalimbali ya Usafirishaji katika Ukumbi wa Mamlaka ya Usafirishaji Bandarini ( Z M A )Malindi Zanzibar.

Mkaguzi Msaidizi wa Polisi Said Yussuf Mohamed akizungumza katika Kikao Cha Wadau wa Usafirishaji Bandarini kuzungumzia mambo mbalimbali ya Usafirishaji katika Ukumbi wa Mamlaka ya Usafirishaji Bandarini ( Z M A )Malindi Zanzibar.

Mwenyekiti wa Vyombo vya Majahazi Omar Mkame Mtumweni akiuliza maswali katika Kikao Cha Wadau wa Usafirishaji Bandarini kuzungumzia mambo mbalimbali ya Usafirishaji katika Ukumbi wa Mamlaka ya Usafirishaji Bandarini ( Z M A )Malindi Zanzibar.

Mkuu wa Kitengo cha Usajili Mabaharia na Vyombo Vidogo Kaptein Khamis Mohamed akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika Kikao Cha Wadau wa Usafirishaji Bandarini kuzungumzia mambo mbalimbali ya Usafirishaji katika Ukumbi wa Mamlaka ya Usafirishaji Bandarini ( Z M A ) Malindi Zanzibar.

Mkurugenzi Idara ya Ulinzi na Usalama(Z M A) Kapteni Khamis Taji Khamis akitolea ufafanuzi baadhi ya maswali yalioulizwa katika Kikao Cha Wadau wa Usafirishaji Bandarini kuzungumzia mambo mbalimbali ya Usafirishaji katika Ukumbi wa Mamlaka ya Usafirishaji Bandarini ( Z M A )Malindi Zanzibar.

Mkurugenzi wa Huduma za Meli na Bandari Rajab Ali Rajab katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Wadau wa Usafirishaji baada ya kumaliza Kikao kuzungumzia mambo mbalimbali ya Usafirishaji katika Ukumbi wa Mamlaka ya Usafirishaji Bandarini ( Z M A )Malindi Zanzibar.
(PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.25/04/2025)