Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Meneja Maradi wa Ujenzi wa Hospital ya Rufaa ya Ukerewe Mhandisi Lupakisyo George wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi wa hospitali hiyo, Aprili 25, 2025, Ukerewe mkoani Mwanza. Mheshimiwa Majaliwa amefanya ziara ya siku moja wilayani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifungua kitambaa kuashiria kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la utawala la Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza, Aprili 25, 2025. Kushoto ni Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Dkt. Festo Dugange. Mheshimiwa Majaliwa amefanya ziara ya siku moja wilayani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia maendeleo ya ujenzi wa mradi wa Ujenzi wa Hospital ya Rufaa ya Ukerewe Aprili 25, 2025, Ukerewe mkoani Mwanza. Mheshimiwa Majaliwa amefanya ziara ya siku moja wilayani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimia wakazi wa Wilaya ya Ukerewe mkoani Mwanza wakati alipowasili kwenye uwanja wa Getrude Mongela kuhutubia maelfu ya wananchi wa wilaya hiyo, Aprili 25, 2025, Mheshimiwa Majaliwa amefanya ziara ya siku moja wilayani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.
Muonekano wa Seehemu ya maendeleo ya ujenzi wa Hospital ya Rufaa ya Ukerewe ambayo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekagua maendeleo ya ujenzi wake.Mheshimiwa Majaliwa amefanya ziara ya siku moja wilayani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.
Mamia ya Waziri wa Wiaya ya Ukerewe wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipohutubia mkutano wa hadhara katika uwanja wa getrude Mongela Aprili 25, 2025, Ukerewe mkoani Mwanza. Mheshimiwa Majaliwa amefanya ziara ya siku moja wilayani humo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano.