LEO hii wakali wa ubashiri Meridianbet tunaenda kuangalia mechi za Nusu Fainali za Ligi ya Mabingwa ambazo zitapigwa wiki hii kwenye viwanja viwili tofauti pale Olimpico Lluis na Emirates.
Vijana wa Mikel Arteta Arsenal Jumanne hii watawakaribisha vijana wa Luis Enrique majira ya saa 4:00 usiku kwenye mchezo ambao utakuwa ni wa kusisimua huku morali za timu zote zikiwa juu kabisa.
Hii ni mojawapo ya mechi za Nusu Fainali kali sana ambayo itakuwa na ushindani mkubwa sana kwani timu zote zinafukuzia taji lao la kwanza kwenye michuano hii ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Arsenal kutoka Uingereza mpaka sasa inashika nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi huku akishindwa kabisa kupambania taji la ligi na kuliacha kwa Liverpool, huku kwa upande wa PSG tayari wao ndio mabingwa wa LIGUE 1 wakichukua taji hilo kwa mara ya 12.
Nafasi ya kuwa bingwa unayo leo hii Meridianbet. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
The Gunners wanaingia kwenye mechi hii kwa kujiamini kabisa baada ya kumtoa Real Madrid bingwa mara nyingi wa michuano hii kwa jumla ya mabao 5-1, lakini hapa anakutana na kigingi cha vijana kutoka Ufaransa ambapo majeraha kama ya Harvetz, Jorginho, Calafiori, Gabriel Malgahaes na wengine kibao.
Kwa upande wa PSG wao wanakuja PSG wanakuja kwenye mechi hii wakiwa na rekodi nzuri ya kutoshindwa katika mechi zao za hivi karibuni, na tayari wameshakuwa mabingwa wa Ligue 1. Kocha Luis Enrique ameonyesha dhamira ya kutwaa mataji matatu msimu huu, akisisitiza umuhimu wa ushindi katika Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Timu zote mbili zina wachezaji wazuri ambao kwenda mbele ni hatari sana, ambapo kwa upande wa Arsenal wao wana Bukayo Saka, Martineli, Trossard na wengine, huku PSG wao wakiwa na Dembele, Goncalo Ramos, Barcola na wengine kibao. Je nani kushinda mechi hii?. ODDS KUBWA zipo Meridianbet. Jisajili na ubashiri sasa.
Mtanange mwingine utakuwa ni Jumatano ambapo Barcelona atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Inter Milan ya Simone Inzaghi. Barca kwanza ndio vinara wa Laliga wakiwa na pointi zao 76, huku wakishinda mechi yao iliyopita. Katika mchezo wa kwanza uliofanyika ugenini kwa Barcelona, timu hiyo ilishinda kwa 4-0, ikiwaacha Dortmund katika hali ngumu. Katika mchezo huo, Raphinha alifunga goli la mapema, akifuatiwa na Robert Lewandowski aliyefunga mabao mawili, na Lamine Yamal alifunga goli la nne.
Katika mchezo wa pili uliofanyika Signal Iduna Park, Borussia Dortmund walijitahidi kurejesha matumaini yao kwa kushinda 3-2, lakini matokeo hayo hayakuwa ya kutosha kuweza kuondoa pengo la mabao kutoka mchezo wa kwanza. Hivyo Barca ni wazuri sana eneo la ushambuliaji.
Inter Milan ambao ndio vinara wa Serie A wao waliwatoa Bayern Munich ambao mechi ya kwanza walicheza ugenini na kushinda kwa mabao 2-1, mabao yakifungwa na Lautaro na Thuram, huku Kane akifunga bao pekee la Bayern.
Katika mchezo wa pili uliofanyika nyumbani kwa Inter, mechi ilimalizika kwa sare ya 2-2. Mabao ya Inter yalifungwa na Lautaro Martínez na Henrikh Mkhitaryan, huku Bayern wakifunga kupitia Joshua Kimmich na Leroy Sané. Kwa jumla, Inter walishinda kwa jumla ya mabao 4-3 na kufuzu kwa nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Mara ya mwisho timu hizi zilikutana kwenye hatua ya makundi mwaka 2023 ambapo mechi ya kwanza Barca alikufa na ya pili wakatoshana nguvu. Je vijana wa Hans Flick watalipa kisasi?. Bashiri mechi hii sasa.