Usikose fursa hii ya kipekee! Hospitali hii maarufu kutoka Uturuki inaleta mtaalamu hapa jijini Dar es Salaam kwa ushauri wa afya na masuala ya uzazi na IVF kwa wanawake
Kama unapanga kupata mtoto au unahitaji ushauri wa kitaalamu kuhusu afya ya uzazi kwa wanawake njoo ufanye uchunguzi, uulize maswali, na ujifunze zaidi kutoka kwa wataalamu wa kimataifa.
Okoa muda na pesa – njoo uzungumze na mtaalamu wa IVF moja kwa moja! Watakuwepo tarehe 1-2 mwezi wa Mei, hapa DOCTORS PLAZA MOROCCO
Kwa mawasiliano tupigie simu kwa namba: 0710 344 341 au 0683 074 130.