BAADHI ya Viongozi wa Dini Zanzibar wakihudhuria Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI wa Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Wilaya Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.(Picha na Ikulu)
WAGENI waalikwa katika hafla ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhiwa Fedha SUKUK, wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar wakati wa hafla hiyo ya ufungaji iliyofanyika leo 29-4-2025.(Picha na Ikulu).
BAADHI ya Viongozi wa Serikali Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na Kukabidhi Fedha za SUKUK, hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.(Picha na Ikulu).