RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa mfano wa hundi wa fedha za Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, akikabidhiwa na Waziri wa Nchi Afisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe.Dkt. Saada Mkuya Salum (kushoto kwa Rais) na (kulia kwa Rais) Mkurugenzi Mtendaji,Zanzibar Treasury Sukuk Limited. Dkt. Masoud Rashid Mohammed na Mkurugenzi Muendeshaji Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Arafat Ally Haji,hafla hiyo ya ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar na kukabidhi fedha za SUKUK, iliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.(Picha na Ikulu)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia wakati wa hafla ya Ufungaji wa Awamu ya Kwanza ya Uwekezaji wa SUKUK Zanzibar, uliyofanyika katika viwanja vya Ikulu Jijini Zanzibar leo 29-4-2025.(Picha na Ikulu)
