RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali waliowasili viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi,zilizofanyika leo 1-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi wa Yas /Mixx Zanzibar. Azizi Saidi Ali, wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkurugenzi Rasilimali Watu Benki ya Watu wa Zanzibar (PBZ) Viwe Ali Juma,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi,wakimsiliza Mkurugenzi Mipango na Uwekezaji Mfuko wa Huduma za Afya Zanzibar Halifa Muumini,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza Mkuu wa Mkurugenzi ya Mipango,Utumishi na Utawala Tume ya Uchaguzi Zanzibar Saadun Ahmed Khamis,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza Naibu Kamishna Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA – Zanzibar Bw. Saleh Haji Pandu,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi, akimsiliza Meneja wa PSSF Ofisi ya Zanzibar Rajab Kinande,wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi, Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Shariff Ali Shariff .(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea Maandamano ya Wafanyakazi ya Maadhimisho ya Kilele cha Siku ya Wafanyakazi Duniani Mei Mosi, yaliyofanyika katika viwanja vya Kizimkazi Mkoa wa Kusini Unguja leo 1-5-2025.(Picha na Ikulu)