IKIWA leo hii ni Jumamosi ya kwanza ya mwezi Mei wakali wa ubashiri wanakwambia hivi, endelea kubashiri na Meridianbet ujiweke kwenye nafasi ya kupiga mshindo wa maana. Mechi kibao za ushindi zipo hapa.
EPL mechi zinatarajiwa kuendelea kibabe leo ambapo Everton atakipiga dhidi ya Ipswich ambapo mechi ya kwanza kukutana, wenyeji wlaiondoka na ushindi. Ikumbukwe kuwa nafasi ya kushinda pale Meridianbet amepewa The Toffees kwa ODDS 1.53 kwa 6.40. Bashiri hapa.
Nao Leicester City watakuwa wakiumana dhidi ya Southampton ambapo timu hizi zote zimeshuka daraja tayari. Hivyo basi timu hizi zinacheza mechi kukamilisha ratiba tuuh. Anayepewa nafasi ya kuibuka bingwa ni mwenyeji akiwa na ODDS 2.50 kwa 2.80. Tengeneza jamvi hapa.
Arsenal baada ya kutoa sare mechi iliyopita, leo hii watakuwa nyumbani kusaka pointi tatu dhidi ya AFC Bournemouth ambao nao walitoa sare. The Gunners wanahitaji kulipa kisasi baada ya kupigika mechi ya kwanza walipokutana. Je wataweza kupata ushindi leo hii?. ODDS za mechi hii ni 2.00 kwa 3.80. Jisajili hapa.
Timiza ndoto zako na Meridianbet leo. Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Ligi kuu ya Ujerumani, BUNDESLIGA nayo inatarajiwa kuendelea leo hii Union Berlin atachuana vikali dhidi ya Werder Bremen ambao wapo nafasi ya 8 huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 13. Tofauti ao ni pointi 9 huku wageni ndio wakipendelewa kuondoka na ushindi kwa ODDS 2.47 kwa 2.90. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka jamvi hapa.
RB Leipzig atakuwa na kibarua cha kusaka ushindi dhidi ya Bayern Munich, vinara wa ligi wakiwa na pointi zao 75. Mwenyeji yupo nafasi ya 5 na pointi zake 49. Mechi ya mkondo wa kwanza RB amepigika vibaya mno. Leo anaweza kulipa kisasi?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 4.60 kwa 1.65.
Hapo baadae kabisa Borussia Dortmund atakipiga dhidi ya VFL Wolfsburg ambao mechi iliyopita akipoteza wakati mwenyeji wake akishinda. Timu hizi zimetofautiana pointi 9 pekee. Kila timu inahitaji ushindi siku hii ya leo ambapo MeridiaNbet wameipa mechi hii ODDS 1.35 kwa 7.80. Suka jamvi hapa.
LALIGA kule Hispania leo hii pia inatarajiwa kuendelea ambapo Villarreal watapepetana dhidi ya CA Osasuna ambao mechi iliyopita walishinda huku wenyeji wao nao wakishinda. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.50 kwa 6.20. Tandika jamvi hapa.
Kwa upande wa UD Las Palmas yeye atachuana vikali dhidi ya Valencia ambapo takwimu zinaonesha kuwa mechi ya mwisho kukutana, mgeni aliasuka. Je mwenyeji anaweza kuendelea ubabe wake leo?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 2.65 kwa 2.90.
Nao vinara wa ligi FC Barcelona watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Real Valladolid ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye ligi. Hans Flick na vijana wake wanahitaji ushindi leo hii kujiweka sawa kwenye mbio za ubingwa. 12 kwa 1.22 ndio ODDS za mechi hii. Jisajili hapa.
Pia kule Italia SERIE A nayo ni ya moto sana Parma Calcio ataumana dhidi ya Como 1907 huku mtanange wa mwisho walipokutana ukionesha kuwa walitoa sare. Je leo hii nani kuondoka na pointi 3 za kibabe?. Mechi hii imepewa machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri sasa.
Napoli ya Conte ambao wapo kileleni kwenye msimamo wa ligi watakuwa ugenini kucheza dhidi ya US Lecce huku pointi hizi tatu zikiwa ni muhimu sana kwa vijana wa Antonio kwani zitazidi kuwaweka juu. 6.40 kwa 1.59 ndio ODDS za mechi hii. Beti sasa.
Mechi nyingine leo hii ni ya Inter Milan vs Hellas Verona ambapo mechi iliyopita, vijana wa Inzaghi walipigwa hivyo ushindi wa leo ni muhimu sana. Wakali wa ubashiri Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mwenyeji kwa ODDS 1.43 kwa 7.80. Wewe beti yako unaiweka wapi hapa?. Tandika jamvi hapa.