Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Wakiimba Wimbo wa Mashujaa mara baada ya kuwasili Mgeni Rasmi katika Hafla ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Makamu Mwenyekiti Chipukizi Taifa Atka Juma Hassan akiimba Wimbo wa Mashujaa mara baada ya kuwasili Mgeni Rasmi katika Hafla ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Katibu wa UVCCM Wadi ya Mambosasa Sharifa Hassan Haji akisoma Risala katika hafla ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Katibu wa CCM Wadi ya Mambosasa Talib Ramadhan Haji akitoa salamu za Viongozi wa CCM katika hafla ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Mwenyekiti wa UVCCM Wadi wa Mambosasa Mohamed Ramadhan Amour akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni rasmi katika hafla ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Katibu wa Siasa ,Uenezina Mafunzo Khamis Mbeto Khamis akitoa hotuba ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Katibu wa Siasa ,Uenezina Mafunzo Khamis Mbeto Khamis akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Katibu wa Siasa ,Uenezina Mafunzo Khamis Mbeto Khamis akitoa Kadi kwa Mwanachama Mpya wa CCM Yunus Juma Rashid katika hafla ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Katibu wa Siasa ,Uenezina Mafunzo Khamis Mbeto Khamis akitoa Kadi kwa Mwanachama Mpya wa CCM Hafsa Khamis Mtumwa katika hafla ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.
Katibu wa Siasa ,Uenezina Mafunzo Khamis Mbeto Khamis akimpatia Cheti cha Itikadi Saleh Hemed Matar katika hafla ya Ufungaji wa Darasa la Itikadi kwa Wanachama wa CCM katika Wadi ya Mambosasa,hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Kwezi Fuoni Zanzibar.