Mwenyekiti wa Mtandao wa Elimu Tanzania – Bi. Faraja Kotta Nyalandu akizungumza kwenye hafla ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe. |
![]() |
Mkuu wa Wilaya ya Mlele, Alh. Majid Mwanga akizungumza kwenye hafla ya uzinduzi wa Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025, yanayofanyika kitaifa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe. |
![]() |
Wanafunzi wakiwa katika maandamano ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025 yanayofanyika kitaifa hapa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe. |
![]() |
Wanafunzi wakiwa na mabango yenye jumbe anuai katika maandamano ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025 yanayofanyika kitaifa hapa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe. |
![]() |
Wanafunzi wakiwa na mabango yenye jumbe anuai katika maandamano ya Maadhimisho ya Juma la Elimu (GAWE) 2025 yanayofanyika kitaifa hapa mkoani Katavi, halmashauri ya Mpimbwe. |