Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
Viongozi, wadau wa Habari pamoja na wageni mbalimbali wakiwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Samia Kalamu Awards2025 kwa Waandishi wa Habari iliyofanyika katika ukumbi wa The Super Dome Masaki Jijini Dar es Salaam tarehe 05 Mei, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye picha ya pamoja na Mama Getrud Mongela wakati wa hafla ya utoaji wa Tuzo kwa Waandishi wa Habari ijulikanayo Kama Samia Kalamu Award 2025 Ukumbi wa The Super Dome Masaki Dar es Salaam Leo Mei 05,2025.