Leo, tarehe 10 Mei 2025, Mhe. Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Tanzania – Msumbiji amekutana na Mhe. Sharif Ali Sharif, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Kazi, Uchumi na Uwekezaji (Zanzibar) kwenye Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi (Zanzibar) na kubadilishana mawazo kuhusu masuala ya ushirikiano katika Sekta ya Uwekazaji kati ya Tanzania/Zanzibar na Msumbiji