Wakati mke wangu alipopata ujauzito kwa mara ya kwanza, tulifurahia sana kama wanandoa wapya. Tulikuwa hatujali jinsia ya mtoto kwa wakati huo. Tulibarikiwa na mtoto wa kike mrembo ambaye tulimpa jina la Neema.
Wazazi, marafiki, na majirani walikuja kumpongeza mama, na maisha yaliendelea. Tulifurahi sana. Hata hivyo, nilianza kuhisi presha ndogo kutoka kwa familia yangu ya asili, hasa baba yangu, aliyetamani nipate mtoto wa kiume ili “kuendeleza ukoo.” Nilipuuzia hayo kwanza, nikiamini mtoto ni mtoto……… SOMA ZAIDI