Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) na Balozi wa Jamhuri ya Czech nchini Tanzania mwenye makazi yake ya kudumu Nairobi-Kenya, Mhe. Nicol Adamcova, wakitia saini Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi (Agreement for the Elimination of Double Taxation with Respect to Taxes on Income and for the Prevention of Tax Evasion and Avoidance), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam, ambapo mkataba huo utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara wanaofanya shughuli kati ya Tanzania na Czech kutozwa kodi mara moja pekee, badala ya mara mbili kwa mapato ya aina moja.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) na Balozi wa Jamhuri ya Czech nchini Tanzania mwenye makazi yake ya kudumu Nairobi-Kenya, Mhe. Nicol Adamcova, wakibadilishana Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi (Agreement for the Elimination of Double Taxation with Respect to Taxes on Income and for the Prevention of Tax Evasion and Avoidance), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam, ambapo mkataba huo utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara wanaofanya shughuli kati ya Tanzania na Czech kutozwa kodi mara moja pekee, badala ya mara mbili kwa mapato ya aina moja.

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb) na Balozi wa Jamhuri ya Czech nchini Tanzania mwenye makazi yake ya kudumu Nairobi-Kenya, Mhe. Nicol Adamcova, wakionesha Mkataba wa Kuondoa Utozaji Kodi ya Mapato Mara Mbili na Kuzuia Ukwepaji Kodi (Agreement for the Elimination of Double Taxation with Respect to Taxes on Income and for the Prevention of Tax Evasion and Avoidance), katika ukumbi wa Ofisi Ndogo za Wizara ya Fedha, jijini Dar es Salaam, ambapo mkataba huo utawezesha wawekezaji na wafanyabiashara wanaofanya shughuli kati ya Tanzania na Czech kutozwa kodi mara moja pekee, badala ya mara mbili kwa mapato ya aina moja. (Picha na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, WF, Dar es Salaam).