Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume (KUSHOTO)akikabidhiwa Zawadi kwa ajili ya Ofisi ya Mufti Mkuu wa Zanzibar na Amiri(Kiongozi)wa Wanafunzi wa Mafunzo ya Ndoa Sheikh Mohamed Salim Omar katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo hayo kwa Mkupuo wa Tatu yaliofanyika katika Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Mjini Unguja.Baadhi ya Wahitimu wa Mafunzo ya Usimamizi wa Ndoa waliohudhuria katika Ufungaji wa Mafunzo hayo yaliofanyika katika Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Mjini Unguja.

Mwanafunzi wa Mafunzo ya Ndoa Shekh Mahfudh Said Omar akisoma Risala katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo hayo yaliofanyika katika Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Mjini Unguja.

Mkurugenzi Fat-wa Utafiti na Utatuzi wa Migogoro Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khamis Gharib Khamis akizungumza kuhusiana na Migogoro ya ndoa katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo hayo yaliofanyika katika Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Mjini Unguja.

Katibu Mtendaji Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar Sheikh Khalid Ali Mfaume akitoa salamu za Ofisi katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Tatu yaliofanyika katika Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Mjini Unguja.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Al-haj Mzee Ali Haji akitoa hotuba ya Ufungaji wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Tatu yaliofanyika katika Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Mjini Unguja

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Al-haj Mzee Ali Haji akimkabidhi Cheti Cha Ufaulu Mmoja kati ya Wanafunzi wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Tatu Bakari Rajab Bakari katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo hayo yaliofanyika katika Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Mjini Unguja.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Al-haj Mzee Ali Haji akimkabidhi Cheti Cha Ufaulu Mmoja kati ya Wanafunzi wa Mafunzo ya Ndoa Mkupuo wa Tatu Faki Ali Khamis katika hafla ya Ufungaji wa Mafunzo hayo yaliofanyika katika Masjid Jamii Zinjibar Mazizini Mjini Unguja. (PICHA NA YUSSUF SIMAI,MAELEZO ZANZIBAR.14/05/2025O)