Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB Dkt. Ally Laay wakati akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kufungua Maadhimisho ya Miaka 30 ya Benki ya CRDB pamoja Semina ya Wanahisa wa Benki hiyo leo tarehe 16 Mei 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB Abdulmajid Nsekela wakati akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kufungua Maadhimisho ya Miaka 30 ya Benki ya CRDB pamoja Semina ya Wanahisa wa Benki hiyo leo tarehe 16 Mei 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kufungua Maadhimisho ya Miaka 30 ya Benki ya CRDB pamoja Semina ya Wanahisa wa Benki hiyo leo tarehe 16 Mei 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitazama kumbukumbu mbalimbali za Viongozi waliohudumu katika Benki ya CRDB wakati akiwasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) kufungua Maadhimisho ya Miaka 30 ya Benki ya CRDB pamoja Semina ya Wanahisa wa Benki hiyo leo tarehe 16 Mei 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali na Benki ya CRDB wakishiriki katika Ufunguzi wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Benki ya CRDB pamoja Semina ya Wanahisa wa Benki hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC). Tarehe 16 Mei 2025