Dada mmoja aitwaye Khadija kazi yake ilikuwa rahisi tu, kazi hiyo ilimbidi tu kujifanya kama anauza mkufu wa dhahabu kwa bei ya kutupa kisha kuwavuta wateja hadi eneo fulani la uchochoni, halafu hapo wanaume kadhaa watajitokeza na kumpora mwanaume huyo…. SOMA ZAIDI