Nilijua wazi kuwa ardhi ile ilikuwa yangu kihalali. Niliinunua kwa jasho langu mwenyewe baada ya miaka mingi ya kufanya kazi ndogo ndogo, kujiwekea akiba, na hatimaye kupata kipande hicho cha ardhi kando ya mto katika kijiji cha baba yangu. Ilikuwa sehemu niliyoipenda sana, na ndoto yangu ilikuwa ni kujenga nyumba ndogo ya kupumzikia baada ya […]…. SOMA ZAIDI