Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiwa katika kituo cha Uborreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura wakati alipotembelea kituo cha Mtendaji wa Kijiji cha Magila Gereza Wilaya ya Korogwe vijijini Mkoani Tanga leo Mei 19,2025. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akizungumza na Wakazi wa Kata ya Manundu iliyopo Halmashauri ya Korogwe Mji mkoani Tanga leo Mei 19, 2025 wakati akitembelea vituo vya uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura na Uweklaji wazi wa Daftari la awali la wapiga kura mkoani humo. (Picha na INEC).
Wakazi wa Kata ya Manundu iliyopo Halmashauri ya Korogwe Mji mkoani Tanga wakiangalia Daftari la awali lililobandikwa katika shule ya Msingi Mazoezi Manundu leo Mei 19, 2025. Mikoa 16 ya Tanzania Bara na Tanzania Zanzibar inaendelea na zoezi la Uboreshaji Daftari la Kudumu la Wapiga. (Picha na INEC).