Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip MpangoΒ akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Juscelino Kubitschek Jijini Brasilia nchini Brazil ambapo anatarajia kumwakilishaΒ Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa pili wa Brazil na Afrika kuhusu usalama wa chakula, mapambano dhidi ya njaa na maendeleo vijijini. Tarehe 19 Mei 2025.
βΒ