Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofunga Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofunga Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye Viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza katika Maadhimisho ya siku ya Nyuki Duniani kwenye viwanja vya Chanangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma kufunga Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Dunaini , Mei 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wasanii wa kundi la Miso Misondo wakitumbuiza katika Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. Mgeni rasmi alikuwa Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)