Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Ufugaji Nyuki kwa Tanzania iliyo Bora katika Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana na Kulia ni Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Danstan Kitandula. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizundua Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Ufugaji Nyuki kwa Tanzania iliyo Bora katika Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. Kushoto ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana. (Picha na Ofisi ya Waziri mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikabidhiwa na Waziri wa Maliasilia na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana nakala ya Mpango wa Kuendeleza Sekta ya Ufugaji Nyuki kwa Tanzania iliyo Bora aliouzindua katika Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. (Pichana ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kutoka kwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Dkt. Pindi Chana tuzo ya kutambua mchango wake katika kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuendeleza Sekta ya ufugaji nyuki na uhifadhi wa mazingira nchini katika Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani yaliyofanyika kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda tuzo ya kutambua mchango wake Kwenye maendeleo ya sekta ya ufugaji nyuki nchini katika Maadhimisho ya Siku ya Nyuki Duniani kwenye viwanja vya Chinangali jijini Dodoma, Mei 20, 2025. (Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)