Aliyekuwa Mkurugenzi wa Africa Media ambaye kwa sasa ni Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu Bw. Shaaban Kissu akimkabidhi ofisi Kaimu Mkurugenzi mpya wa Africa Media Group Bw Dennis Msaky ambaye ameteuliwa hivi karibuni kushika wadhifa huo, Kabla ya Uteuzi huo Dennis Msaky alikuwa msaidizi wa Katibu Mkuu wa CCM Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi.