Mwanamke mmoja amejikeza kwenye mitandao ya kijamii kueleza jinsi alivyovunjika moyo baada ya kumsaidia mpenzi wake katika maandalizi ya kumlipia mahari lakini siku ya tukio lenyewe hakutokea. Akitambuliwa kama Mamiena, mwanamke huyo alifichua jinsi alivyompatia kiasi cha Sh10 milioni ili kumsaidia mwanaume wake kulipa mahari hiyo kwa familia yake. “Ebu fikiria tayari tulikuwa tumepika, tumetayarisha […]……… SOMA ZAIDI