Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Jukwaa la Vijana na Mazingira kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Juni 3, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye ukumbi wa Maktaba wa Chuo Kikuu cha Dar es salaam kuwa mgeni rasmi katika Jukwaa la Vijana na Mzingira. Juni 3, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizungumza na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira , Mhandisi Cyprian Luhemeja katika Jukwaa la Vija na Mazingira Kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Juni 3, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya washiriki wa Jukwaa la Vijana na Mazingira wakimsikiliza mgeni rasmi Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza Kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Juni 3, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rahim Kangeze ,Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Africa Carnon Agency and Its Global Partner alipotembelea Mabanda ya maonesho katika Jukwaa la Vijana na Mazingira Kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Juni 3, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Balozi wa Mazingira, Ofisi ya Makamu wa Rais, Hadija Mpanda kulia alipotembelea Mabanda ya maonesho katika Jukwaa la Vijana na Mazingira Kwenye ukumbi wa Maktaba ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam, Juni 3, 2025 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)