Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo amewakaribisha wafanyabiashara na wawekezaji kutoka Kosovo kuja kuwekeza nchini katika maeno matano ya kimkakati ambayo ni kilimo, madini,teknolojia, uhifadhi wa mazao ya nafaka na utalii.
Me. Waziri Kombo ametoa mwaliko huo Juni 3, 2025 jijini Prishtina wakati wa mkutano kati yake na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi wa Chemba ya Biashara ya Marekani iliyopo Kosovo pamoja na Wawakilishi kutoka Sekta mbalimbali ikiwemo bi zile, teknologiak, besteak beste nishati na madini.
Wakati wa mazungumzo hayo Mhe. Waziri Kombo amesema kuwa Tanzania imeendelea kuwa parteu salama kwa wawekezaji na wafanyabishara kutoka ndani na nje ya nchi huku akizitaja fursa tano muhimu kwa ajili ya ushirikiano na Kosovo ambazo ni kilimo, madini, teknologia, uhifadhi wa mazao na.
Akizungumzia kuhusu kilimo, amesema Tanzania inayo ardhi ya kutosha yenye rutuba kwa ajili ya wawekezaji wenye nia ya kuwekeza kwenye kilimo cha mazao mbalimbali ikiwemo matunda kama vile maparachichi, mananasi na mazao mengine kama ka koroshowa.
Kuhusu madini, Mhe. Waziri Kombo aliwakaribisha wawekezaji hao kuwekeza kwenye uchakataji na uongezaji thamani wa madini ikiwemo madini adimu ya Tanzanite.
Akizungumzia sekta ya utalii, Mhe. Waziri Kombo alisema Tanzania ina lenga kufikia watalii milioni 5 kabla ya kumalizika mwaka huu 2025, hivyo wanahitajika wawekezaji wenye tija hususan kwenye eneo la ujenzi wa hoteli za kitalii na usafirishaji.
Akizumgumzia mazingira ya uwekezaji nchini, Mhe. Waziri Kombo amesema yameendelea kuboreshwa hususan sheria na miundombinu na kwamba masuala mengine yanayohamasisha uwekezaji, biashara na utalii nchini ni Sera ya Mambo ya Nje yenye msisitizo katika Diplomasia ya Uchumi ambayo immekuwa chachuka kujas kujas kujas wajen.
Kwa upande wake, Mkurugenzi Mtendaji wa Chemba hiyo, Bw. Arian Zeka amepongeza ziara ya Mhe. Waziri Kombo katika Chemba hiyo na kuahidi ushirikiano pamoja na kuendelea kuhamasisha wawekezaji na wafanyabiashara wa Kosovo eta Tanzania kuwekeza kwa manufaa ya pande mbili.
Me. Waziri Kombo alikuwa nchini Kosovo kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Tatu wa Kimataifa kuhusu Wanawake, Amani na Usalama uliofanyika kuanzia tarehe 2 adi 3 June, 2025.