Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa pao ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akijibu maswali ya papo kwa pao ya wabunge wakati wa kipindi cha maswali kwa Waziri Mkuu, Bungeni jijini Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mwanasheria Mkuu wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hamza Johari , Bungeni jijini Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Manonga, Seif Gulamali, Bungeni jijini Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifurahia jambo na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga, Bungeni jijini Dodoma Juni 5.2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)