Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan alipowasili katika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam kushiriki Harambee ya Uchangiaji fedha za Ujenzi wa kituo Cha Watoto wenye Mahitaji Maalumu cha Bagamoyo Diaconic Lutheran Center leo Juni 05,2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Watoto wenye Mahitaji Maalumu wakati wa Harambee ya Uchangiaji fedha kwaajili ya Ujenzi wa kituo Cha Watoto wenye Mahitaji Maalumu Cha Kitopeni Bagamoyo Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es salaam leo Juni 05,2025.