RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina, ukiongozwa na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof. Song Li Juan, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina, ukiongozwa na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof. Song Li Juan, na (kulia kwa Rais) Balozi Mdogo wa China anayefanyia kazi zake Zanzibar Mhe.Li.Quanghua, na Ikushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe.Nassor Ahmed Mazrui, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Naibu Mkurugenzi wa Chuo cha Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina Prof.Song Li Juan, baada ya kumaliza mazungumzo na Ujumbe wa Mabingwa wa Utafiti wa Dawa za Asili za Kichina, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-6-2025.(Picha na Ikulu)