



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na wananchi kutoka Kisarawe waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Dkt Semani Jafo (kulia kwake), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kutoka Kisarawe waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao, Dkt. Semani Jafo (wa tatu kushoto) kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na walimu kutoka Wilaya ya Temeke jijini Dar es salaam waliotembelea Bunge jijini Dodoma kwa mwaliko wa Mbunge wa Viti Maalum, Mariam Kisangi (kulia kwake), kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 12, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)