Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na mtoto Kassim Majaliwa alipotembelea Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum , Sanganigwa cha Kigoma mjini kinachendeshwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Juni 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikabidhi msaada wa vyakula kwa Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum, Sanganigwa cha Kigoma mjini kinachoendeshwa na Kanisa Katoliki Jimbo la Kigoma, Juni 13, 2025. Kushoto ni Makamu Baba Askofu Jimbo Katoliki Kigoma Padri Evarist Anthony Guzuye na kulia ni Mkurugenzi wa hicho, Keneth Hageze. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipotembelea Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum, Sanganigwa cha mjini Kigoma, Juni 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipotembelea Kituo cha watoto wenye mahitaji maalum, Sanganigwa cha mjini Kigoma, Juni 13, 2025. Kulia ni Makamu Baba Askofu Jimbo Katoliki Kigoma, Padri Evarist Anthony Guzuye na kulia ni Mkurugenzi wa kituo hicho, Keneth Hageze. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watoto wa kituo cha wenye mahitaji maalum, Sanginigwa cha mjini Kigoma wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alipozungumza wakati alipotembelea kituo hicho, Juni 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)