


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa elimu katika harambee ya kuchangia ujenzi wa uzio wa shule ya sekondari ya Wasichana ya Ruvu iliyopo Kibaha vijijini mkoani Pwani, iliyofanyika katika ukumbi wa Golden Tulip jijini Dar es salaa Juni 14, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)