Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam, iliyofanyika katika viwanja vya Maturubai Mbagala jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Wananchi waliyofika kwenye ufunguzi wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza na wananchi hao alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika viwanja vya Maturubai Mbagala jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza akizungumza na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Katiba, Sheria, Utumishi na Utawala Bora wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Haroun Ali Suleiman wakati alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam, iliyofanyika katika viwanja vya Maturubai Mbagala jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro wakati alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam, iliyofanyika katika viwanja vya Maturubai Mbagala jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi Naibu Kamishani wa Magereza Dkt. Justine Mhimba Kaziulaya vifaa vya TEHAMA kwa Jeshi la Magereza ikiwa ni sehemu ya uboreshaji wa utoaji haki kwa wananchi kupitia mifumo ya kidijitali. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam iliyofanyika katika viwanja vya Maturubai Mbagala jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Afisa Tathmini na Ufuatiliaji kutoka Taasisi ya Utoaji Huduma za Msaada wa Kisheria-Mbagala Hamida Sindbad kuhusu kazi mbalimbali za taasisi hiyo. Kulia ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro. Mheshimiwa Majaliwa alimwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia kwa Mkoa wa Dar es Salaam iliyofanyika katika viwanja vya Maturubai Mbagala jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo na Afisa Afisa Sheria wa Wizara ya Katiba na Sheria Innocent Magesa kuhusu utekelezaji wa Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia wakati alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi wa kampeni hiyo kwa Mkoa wa Dar es Salaam iliyofanyika katika viwanja vya Maturubai Mbagala jijini Dar es Salaam, Juni 16, 2025. Katikati ni Waziri wa Katiba na Sheria Dkt. Damas Ndumbaro na kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Eliakim Maswi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)