Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi wa Maswa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Maswa mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye uwanja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Maswa kwa ajili ya kuwahutubia wananchi kwenye mkutano wa hadhara tarehe 18 Juni, 2025.
Shamrashamra za wananchi waliohudhuria mkutano wa hadhara wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan uliofanyika katika uwanja wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilayani Maswa mkoani Simiyu tarehe 18 Juni, 2025.