Mhe. Balozi CP Hamad Khamis Hamad, akutana na Wawakilishi wa Diaspora waliopo Maputo kwenye Viwanja vya Ubalozi Jijini Maputo, tarehe 19 Juni, 2025.
Katika Mkutano huo, mbali ya kupokea changamoto zinazowakabili Diaspora hao, aliwasisitiza kuwa raia na Mabalozi wema kwa muda wote watapikuwa Msumbiji.
Aidha, aliwahakikishia kwamba Ubalozi utatoa kila aina ya msaada na ushirikiano katika kutatua changamoto zao