Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mkuu wa Idara wa kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST Elimwaria Muro, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda hicho cha MAST, kilichopo Chunya mkoani Mbeya, Juni 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akifafanuliwa jambo na Mhandisi wa Madini wa kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST Hassan Kondo, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda hicho cha MAST, kilichopo Chunya mkoani Mbeya, Juni 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa mashine ya kupimia ubora wa madini ya shaba na Mhandisi wa Madini wa kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST Hassan Kondo, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda hicho cha MAST, kilichopo Chunya mkoani Mbeya, Juni 18, 2025. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa Mbeya Juma Homera. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi kuzindua kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda hicho, kilichopo Chunya mkoani Mbeya, Juni 18, 2025. Kutoka kushoto ni Rais na Mtendaji Mkuu Mkuu wa kiwanda hicho Dkt. Glendon Archer, Mkuu wa Mkoa Mbeya Juma Homera na kulia ni Naibu Waziri wa Madini Dkt. Steven Kiruswa. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipeana mkono na Rais na Mtendaji Mkuu Mkuu wa kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST, Dkt. Glendon Archer, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda hicho cha MAST, kilichopo Chunya mkoani Mbeya, Juni 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuzindua kiwanda cha uchenjuaji madini ya Shaba cha MAST kilichopo Chunya mkoani Mbeya, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika uzinduzi wa kiwanda hicho, Juni 18, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)