Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kuzindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo, Juni 24, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa Kigoma na IGP Mstaafu, Balozi Simon Sirro ambaye pia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) alipowasili kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma kuzindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo, Juni 14, 2025. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa STAMICO, Dkt. Venance Mwasse, wa tatu kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini ambaye pia ni Mbunge wa Same Magaharibi, Dkt. Mathoyo David. (Picha na ofisi ya Waziri mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa VIti Maalum Mstaafu, Lediana Mg’ong’o alipotemblea banda la maonesho la mkaa bora wa Rafiki Briquettes alipozindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo, Juni 25, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikata utepe kuzindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo, kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 24, 2025. Wa tatu kulia ni Waziri wa mdini, Anthony Mavinde, wa tano kulia ni Mkuu wa Mkoa wa kigoma Mteule, Mwenyekiti wa bodi ya Shirika la madini la Taifa (STAMICO) na IGP Mstaafu, Balozi Simon Sirro. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati aya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini na Mbunge wa Same Magharibi, Dkt. Mathayo David na wa pili kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule. (Picha na ofisi ya Waziri mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza wa Waziri wa Madini, Anthony Mavunde aliyetoa maelezo baada ya Waziri Mkuu kuzindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo kwenye viwanja vya Kituo cha Mikutano ha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 24, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Baadhi ya mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo ambayo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa aliizindua kwenye viwanja vya Ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 24,2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi ufunguo Waziri wa Madini, Anthony Mavunde alipozindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo kwenye viwanja vya ukumbi wa Jakaya Kikwete jijini Dodoma , Juni 24, 2025. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Mteule na IGP Mstaafu, Balozi Simon Sirro. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu),
Washiriki wa uzinduzi wa mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipozungumza katika uzinduzi huo kwenye Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 24, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipozindua mitambo ya uchorongaji na vifaa vya utafiti wa madini kwa wachimbaji wadogo kwenye ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Jakaya Kikwete jijini Dodoma, Juni 24, 2025. (Picha na Ofis
i ya Waziri Mkuu)