Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Rais na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya Afrexim Prof. Benedict Okey Oramah kabla ya kuanza kwa mazungumzo yaliyofanyika Abuja nchini Nigeria leo tarehe 26 Juni 2025.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akifanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi na Rais wa Benki ya Afrexim Prof. Benedict Okey Oramah, mazungumzo yaliyofanyika Abuja nchini Nigeria leo tarehe 26 Juni 2025.