RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya kufunga Mafunzo ya Maofisa wa Vikosi vya JKU na KVZ, hafla hiyo iliyofanyika leo 26-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalumu za SMZ.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwasili katika viwanja vya Chuo cha Uongozi JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja , kwa ajili ya ufungaji wa Mafunzo ya Kozi ya Maofisa wa Vikosi vya JKU na KVZ , hafla hiyo iliyofanyika leo 26-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara za SMZ.Mhe.Hussein Ali Mwinyi, akipokea salamu ya heshima na kukaguwa gwaride la Maofisa Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ , wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Kozi ya Maofisa hao. iliyofanyika katika viwanja vya Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikagua gwaride la Maofisa Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo hayo yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025.(Picha na Ikulu).
MAOFISA Wapya wa Vikosi vya JKU na KVZ, wakitowa heshima kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara Maalumu za SMZ.Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa hafla ya ufungaji wa Mafunzo ya Sita ya Maofisa wa Vikosi vya JKU na KVZ, yaliyofanyika katika Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja leo 26-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, ambae pia ni Kamanda Mkuu wa Idara za SMZ Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi ya mwanafunzi bora wa kutunga shabaha Ofisa Mpya wa Chuo cha Uongozi cha JKU Dunga Wilaya ya Kati Unguja, Ramadhan Abdallah Mohammed, wakati wa hafla ya ufungaji wa mafunzo ya Sita ya Chuo hicho kwa Maofisa wa JKU na KVZ,yaliyofanyika leo 26-6-2025.(Picha na Ikulu).